Injili Ya Milele

INJILI YA MILELE

 • UJUMBE WA MALAIKA WATATU (Ufunuo 14:6-12)

 

Karibu katika ukurasa wa Ujumbe Wa Malaika Watatu.

Hapo chini ni orodha ya mahubiri Au mfululizo wa Mafundisho yatakayo pakiwa (uploaded) katika wiki na miezi michache ijayo. Usikose kutembelea ukurasa Huu Tena.

 a37

C13-014

UJUMBE WA MALAIKA WATATU (Ufunuo 14:6-12)

6 Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, mwenye INJILI YA MILELE, awahubiri hao wakaao juu ya nchi, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa,

7 akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, Na Kumtukuza, Kwa Maana Saa Ya Hukumu Yake Imekuja. Msujudieni Yeye Aliyezifanya Mbingu Na Nchi Na Bahari Na Chemchemi Za Maji.

8 Kisha mwingine, malaika wa pili, akafuata, akisema, Umeanguka, Umeanguka Babeli, mji ule ulio mkubwa, maana ndio uliowanywesha mataifa yote mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake.

9 Na mwingine, malaika wa tatu, akawafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu Awaye Yote Akimsujudu Huyo Mnyama Na Sanamu Yake, Na Kuipokea Chapa Katika Kipaji Cha Uso Wake, au katika mkono wake,

10 yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.

11 Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake.

12 Hapa ndipo penye Subira Ya Watakatifu, hao wazishikao AMRI ZA MUNGU, na IMANI YA YESU.

 

UJUMBE WA MALAIKA WATATU

 • Utangulizi
 • Historia Fupi

UJUMBE WA MALAIKA WA KWANZA (Mcheni Mungu, Na Kumtukuza)

 • Mcheni Mungu  (part 1)
 • Mcheni Mungu (part 2)
 • Mtukuzeni Mungu (part 3)

UJUMBE WA MALAIKA WA KWANZA (Kwa Maana Saa Ya Hukumu Yake Imewadia)

 • Kwa kua Saa ya Hukumu Yake Imekuja
 • Fundisho La Biblia kuhusu Hukumu ya Mungu
 • Tunawezaje kujua Saa ya Wakati wa Hukumu?
 • 8:14 & Ujumbe wa Hekalu la Mbinguni
 • Sheria Takatifu ya Mungu
 • Hukumu Ya Upelelezi
 • Kuna Sauti Yaita Kwa Upole.

UJUMBE WA MALAIKA WA KWANZA (Ibada kwa Yesu)

 • Ibada Katika Historia & Maandiko (1) Utangulizi
 • Ibada Katika Historia & Maandiko (2) Muumba, Si Viumbe.
 • Ibada Katika Historia & Maandiko (3) Sheria Zake Katika Mioyo Yetu (Waebrania 10)
 • Ibada Katika Historia & Maandiko (4) SABATO: Siku ya Saba Ya Juma.

UJUMBE WA MALAIKA WA PILI

“Umeanguka, Umeanguka Babeli, Mji Ule Ulio Mkubwa”.

 • Babeli Katika Historia & Maandiko (1) Utangulizi
 • Babeli Katika Historia & Maandiko (2) Mji Ule Ulio Mkubwa.
 • Babeli Katika Historia & Maandiko (3) Laana Ya Babeli
 • Babeli Katika Historia & Maandiko (4) Babeli Na Miundo Ya Ki-Israeli
 • Babeli Katika Historia & Maandiko (5) Maandalizi Ya Babeli
 • Babeli Katika Historia & Maandiko (6) Mfumo Wa Babeli Katika Ulimwengu Wa Leo

“Umeanguka, Umeanguka Babeli, Mji Ule Ulio Mkubwa”.

 • Mvinyo Wa Ghadhabu Ya Uasherati Wake.
 • Mashambulizi ya Injili
 • Mashambulizi ya Amri Kumi Za Mungu
 • Mashambulizi ya Siku Takatifu Ya Sabato
 • Mashambulizi ya Mwili, Nafsi, Roho
 • Mashambulizi ya Watu wa Mungu
 • Mashambulizi ya Hekalu la Mbunguni

“Umeanguka, Umeanguka Babeli, Mji Ule Ulio Mkubwa”.

 • Wito wa Kutoka Babeli
 • Majira Ya Kutoka Babeli

UJUMBE WA MALAIKA WA TATU

 • Picha ya “Mnyama” katika Agano la Kake
 • Picha ya “Mnyama” katika Agano Jipya
 • Mnyama” wa Ufunuo 13 na 17
 • Utambuzi wa “Mnyama” wa Ufunuo 13 na 17
 • Protestant Reformers na “Mnyama”
 • Alama Ya Mnyama” na “Muhuri Wa Mungu
 • Hasira ya Mungu” na “Kikombe Cha Hasira Yake
 • Tazama, “Moshi Wa Maumivu Yao Hupanda Juu Hata Milele Na Milele”
 • Jinsi ya kuwa na USHINDI dhidi ya Mnyama, Sanamu Yake , Alama Yake na Hesabu Ya Jina Lake?

HAPA NDIPO PENYE SUBIRA YA WATAKATIFU.

Tabia ya Masalio wa Siku za Mwisho

 • Hapa Ndipo Penye Subira Ya Watakatifu,
 • Hao Wazishikao Amri Za Mungu,
 • Hao Wenye Imani Ya Yesu.

Heri Wafu Wafao Katika Bwana Tangu Sasa.

 • Naam, Asema Roho,
 • Wapate Kupumzika Baada Ya Taabu Zao;
 • Kwa Kuwa Matendo Yao Yafuatana Nao.

KUJIANDAA NA HOFU YA SIKU ZA MWISHO

 • TGV = “Kusoma, Kuelewa, na Kumshuhudia Kristo”
 • Maombi & Kufunga
 • Huduma Ya Injili Ulimwenguni
 • Mvua Ya Masika
 • Huduma ya Kristo katka Hekalu la Mbinguni
 • Kuwekwa Mihuri Watumwa Wa Mungu Wetu
 • Mapigo Saba Ya Mwisho (Ufunuo 16)
 • IMEWADIA” = Mlango Wa Rehema Kufungwa (Ufunuo 15)

HITIMISHO LA MAMBO YOTE (Muhtasari)

 • Kwa nini Fundisho la Ujumbe Wa Malaika Wa Tatu?
 • Sauti Ya Injili kwa Yeyote Atakaye kubali kusikia
 • Toba, Maungamo, Msamaha
 • Imani, Utii, na Kudumu katka PENDO Lake
 • Kuzaliwa Upya kila Siku (Regeneration)
 • Hitaji Letu Kuu (Uamsho & Matengenezo)
 • Utakaso wa Roho Mtakatifu Maishani
 • Matarajio Yetu Makubwa (Isaya 25: 9)
 • Wito: “Tokeni Kwake, Enyi Watu Wangu, Msishiriki Dhambi Zake, Wala Msipokee Mapigo Yake” (Ufunuo 18:4)