Funguo za Unabii

FUNGUO ZA UNABII

Kwanini unabii wa biblia uko katika lugha ya uficho/ picha? Yesu alisema “Ninyi mmepewa kuzijua siri za ufalme wa Mungu; bali wengine kwa mifano, ili wakiona wasione, na wakisikia wasielewe.Luka 8:10

Manabii wengi walipewa mafunuo wakiwa katika mazingira ya kigeni yenye. Sababu iliyomfanya Mungu kuuweka unabii katika Lugha ya taswira au picha ni kuulinda ujumbe uliomo.

 

WANYAMA NA MAUMBILE YAO

 1. Chui = Uyunani Danieli 7:6
 2. Dubu = Nguvu ya Uharibifu / Umedi na Uajemi Mithali 28:15, 2 Wafalme 2:23-24, Danieli 7:5
 3. Farasi = Uwezo na nguvu za kivita Ayubu 39:19, Zaburi 147:10, Mithali 21:31
 4. Joka = Ibilisi au Wafuasi wa Ibilisi Isaya 27:1; 30:6,Zaburi 74:13-14,Ufunuo 12:7-9, Ezekieli 29:3, Yeremiah 51:34
 5. Kondoo Dume = Umedi na Uajemi Danieli 8:20
 6. Kondoo = Yesu / Kafara Yohana  1:29, 1wakorintho  5:7
 7. Mabawa = Kasi / Ulinzi/ Uhuru wa Kiroho Kumbukumbu la Torati  28:49, Mathayo 23:37
 8. Mbuzi = Uyunani Danieli 8:21
 9. Mbwa Mwitu = Adui asiyedhaniwa/Aliyejificha Matthayo 7:15
 10. Mnyama = Falme /Serikari / Nguvu za Kisiasa Danieli 7:17, 23
 11. Njiwa = Roho Mtakatifu Mark 1:10
 12. Nyoka = Shetani Ufunuo 12:9; 20:2
 13. Pembe = Mfalme /Ufalme/Falme Danieli 7:24; 8:5, 21-22, Zakaria 1:18-19, Ufunuo  17:12
 14. Simba = Yesu / Mfalme mweye nguvu i.e. Babeli Ufunuo 5:4-9,Yeremia  50:43-44, Danieli 7:4, 17, 23
 15. Ulimi = Lugha / Hotuba Kutoka 4:10

RANGI

 1. Nyeupe = Usafi / utakaso Ufunuo 3:4-5; 7:14; 19:14
 2. Nyekundu/Wekundu = Dhambi/Rushwa Isaya 1:18, Nahumu 2:3, Ufunuo 17:1-4
 3. Zambarau = Kifalme Marko 15:17, Waamuzi 8:26
 4. Bluu = Sheria Hesabu 15:38-39

VYUMA, VITU, NA MALI ASILI

 1. Maji mengi = Eneo lenye wakazi au watu wengi /watu, Taifa Ufunuo 17:15
 2. Miiba / Ardhi au udongo wenye miiba= Waliosongwa na shughuli za dunia hii Marko 4:18-19
 3. Pepo/Upepo =Mapigano / Vurugu / “Mashindano ya Kivita” Yeremia 25:31-33, 49:36-37; 4:11-13, Zakaria 7:14
 4. Milima = Siasa au Mamlaka ya kidini na kisiasa Isaya  2:2-3, Yeremia 17:3; 31:23; 51:24-25, Ezekieli 17:22-23, Danieli 2:35, 44-45
 5. Mtini = Taifa/Watu wanaotakiwa kuzaa matunda Luka 13:6-9
 6. Nyota=Malaika/Wajumbe = Ufunuo 1:16, 20; 12:4, 7-9, Ayubu 38:7
 7. Mzabibu = Kanisa linalozaa matunda Luka 20:9-16
 8. Fedha = Maneno Halisi na Yanayoeleweka , Mithali 2:4; 3:13-14; 10:20; 25:11,Zaburi 12:6
 9. Moto = Roho Mtakatifu Luka 3:16
 10. Mbegu = Uzao / Yesu Warumi 9:8, Wagalatia 3:16
 11. Maji = Roho Mtakatifu / Uzima wa Milele Yohana 7:39; 4:14, Ufunuo 22:17,  Waefeso 5:26
 12. Yordani = Kifo Warumi 6:4, Kumbukumbu la Torati  4:22
 13. Shamba = Dunia Mathayo13:38, Yohana 4:35
 14. Tunda = Kazi / Kuwajibika Wagalatia 5:22
 15. Mwamba= Yesu / Ukweli 1Wakolintho10:4, Isaya 8:13-14, Warumi 9:33, Mathayo 7:24
 16. Dhahabu = Tabia safi isiyo kifani Isaya 13:12
 17. Mavuno = Mwisho wa Dunia Mathayo 13:39
 18. Wavunaji = Malaika Mathayo 13:39
 19. Jua =Yesu / Injili Zaburi 84:11, Malaki i 4:2, Mathayo 17:2, Yohana 8:12; 9:5
 20. Mti = Msalaba; Watu / Taifa Kumbukumbu la Torati  21:22-23, Zaburi  92:12; 37:35
 21. Shaba, Chuma, Risasi, Fedha Chafu = Tabia Chafu Ezekieli 22:20-21

VIELELEZO VINGINE

 1. Taa = Neno la Mungu Zaburi 119:105
 2. Mavazi = Tabia  Isaya  64:6, Isaya  59:6
 3. Chapa= Ishara au Mhuri wa kutoa idhini au kutokutoa idhini , Ezekieli 9:4, Warumi 4:11, Ufunuo 13:17; 14:9-11; 7:2-3
 4. Mhuri = Ishara au alama ya kutoa idhini au kutokutoa idhini Warumi 4:11,Ufunuo  7:2-3
 5. Baragumu  = Sauti ya Ngurumo yenye onyo kali kutoka kwa Mungu , Kutoka 19:16-17, Yoshua 6:4-5
 6. Mafuta = Roho Mtkatifu Zakaria 4:2-6,Ufunuo  4:5
 7. Udongo uliofinyangwa = Mtu Yeremia 18:1-4, 2Wakolintho  4:7
 8. Babeli = Uasi / Machafuko / Maasi  Mwanzo  10:8-10; 11:6-9,Ufunuo  18:2-3; 17:1-5
 9. Malaika = Mjumbe Danieli 8:16; 9:21, Luka  1:19, 26, Waebrania  1:14
 10. Upanga = Neno la Mungu  Waefeso  6:17,Waebrania  4:12
 11. Divai = Damu / Agano / Mafundisho/ Kanuni Luka  5:37
 12. Mkate = Neno la Mungu Yohana  6:35, 51-52, 63
 13. Kitani nzuri = ushindi / Utakatifu , Ufunuo :8; 3:5; 7:14
 14. Nyakati = Sik 720 Danieli 7:25, Ufunuo  12:6, 14; 13:5
 15. Siku = Sawa na Mwaka  Ezekiei 4:6, Hesabu 14:34
 16. Taji = Kiongozi / Kiongozi mwenye sifa njeman Zaburi 16:31, Isaya 28:5, Isaya  62:3
 17. Asali =  Maisha ya Furaha Ezekieli 20:6, Kumbukumbu la Torati 8:8-9
 18. Wakati = Siku 360  Danieli 4:16, 23, 25, 32; 7:25; Danieli 11:13
 19. Pete = Mamlaka Mwanzo 41:42-43, Esta  3:10-11

WAJIBU, SHUGHULI ,  NA UTHIBITISHO WA KIASILI

 1. Uponyaji = Wokovu, Luka 5:23-24
 2. Ukoma / Ugonjwa = Dhambi Luka 5:23-24
 3. Njaa = Kutokusikia Ukweli (Neno la Mungu) , Amosi 8:11

WATU NA SEHEMU ZAO ZA MWILI.

 1. Kahaba = Dini au Kanisa lilioasi, Isaya  1:21-27, Yeremia  3:1-3; 6-9
 2. Macho =  roho ya utambuzi , Mathayo  13:10-17, 1Yohana  2:11
 3. Mwanamke kahaba = Kanisa lililoasi , Ezekieli 16:15-58; 23:2-21, Hosea 2:5; 3:1,Ufunuo 14:4
 4. Ngozi = Haki ya Kristo ,Kutoka  12:5, 1Petro  1:19, Isaya 1:4-6
 5. Paji la uso = Ufahamu , Kumbukumbu la Torati 6:6-8, Warumi 7:25, Ezekieli 3:8-9
 6. Kichwa = Mamlaka kuu, viongozi ,Falme ,wafalme . Ufunuo 17:3, 9-10
 7. Mwizi = Kuja kwa Yesu katika muda usiotazamiwa 1Thesalonike  5:2-4, 2Petro 3:10
 8. Mwanamke bikira = kanisa la kweli Yeremiah 6:2, 2Wakolintho  11:2, Waefeso  5:23-27
 9. Mkono = Matendo / Kazi / Mienendo  Mhubiri  9:10, Isaya  59:6
 10. Feet = Your Walk / Direction Genesis 19:2, Psalms 119:105

TARAKIMU KATIKA KIBIBLIA

Mara nyingi hesabu za kibiblia zina uhusiano mkubwa sana na masuala ya unabii.

 • Tarakimu zote katika agano la kale na Agano Jipya, ufichua wazo lililojificha na kuleta  maana inayoweza kueleweka hata kwa wasomaji wa kawaida. Kwa kupitia historia ,watu waliokuwa na upeo wa juu wa kufikiri, kama vile Augustine, Isaac Newton, and Leonardo Di Vinci , walidadisi kwa umakini ili kuonesha umhimu wa hesabu za kibiblia.
 • Zaidi ya hapo, Yesu alisema, ” lakini ninyi, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote” Mathayo 10:30.
 • Hii ni dhahii kwamba, ni mhimu sana kuzingatia hesabu za kibiblia.

 

1 – Uwakilisha Umoja na mshikamano  (Waefeso 4:4-6; Yohana 17:21-22.)

2 – Uwakilisha kweli ya neno la Mungu; Kwa mfano,

 • Sheria na Manabii (Yohana 1:45),
 • Mashahidi Wawili au Watatu (2 Wakolintho 13:1),
 • Upanga wenye makali ya kuwili (Waebrania 4:12).
 • Angalia pia Marko 6:7 na Ufunuo 11:3.
 • Imerudiwa mara 21 katika kitabu cha Danieli na Ufunuo.

4 – Uwakilisha ukweli katika pande zote.

 • Pande nne (Kaskazini, Kusini,Magaribi na mashariki)
 • Pepo nne (Mathayo 24:31;Ufunuo  7:1; 20:8).
 • Matendo 10:11, Chombo chenye Pembe Nne kinawakilisha Injili ilipaswa kuwafikia mataifa.

5 – Uwakilisha mafundisho.

 • Kwanza, Kuna vitabu vitano vya Musa.
 • Pili, Yesu alifundisha kuhusu wanawali Watano Wenye Busara.
 • Alitumia Mikate Mitano ya shayiri kuwalisha watu 5,000.

6 – Uwakilisha ibada ya myama, na ni namba ya kibinadamu, inayoonesha uasi wake,Upungufu wake, kazi yake , na kutokutii kwake.

 • Ndani ya biblia hii namba imetumika mara 273, ukiwemo unyambukishaji wake (kwa mfano, sita ), na nyingine ni mara 91,  times as “threescore” au “60.”
 • Mwanadamu aliumbwa siku ya sita (Mwanzo 1:26, 31).
 • Linganisha na Kutoka  31:15 na  Danieli 3:1.

Hesabu ya “666” imezungumziwa aswa kwenye kitabu cha ufunuo, inamwakilisha Mnyama.

 • “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita” (Ufunuo13:18).

7 – Uwakilisha ukamilifu tena ni muhuri wa Mungu, ibada ya Kiungu, represents perfection, and is the sign of God, divine worship, Ukamilisho, Utii, Pumziko.

 • Biblia inaonesha uthamini wa hesanu, kwa kutumia zaidi ya namba 562 ikiwemo na unyambulisho wake (Kwa Mfano , saba, siku ya saba). (Angalia pia ,Mwanzo 2:1-4, Zaburi  119:164 na Kutoka  20:8-11 pitia hii mifano hii michache,)
 • Namba saba ni tarakimu iliyozoeleweka katika masuala ya unabii, rejea siku 42 hizi zinaonekana na kitabu cha Danieli na ufunuo tu. Katika kitabu cha ufunuo wa Yohana kuna habari za makanisa saba, Vinara saba vya dhahabu, Roho saba, nyota saba ,taa saba, mihuri saba ,pembe saba, macho saba, malaika saba, baragumu saba, watu elfu saba waliouawa na tetemeko, vichwa saba, taji saba,milima sana ,na wafalme saba.

10 – uwakilisha sheria na urejeshwaji. bilashaka, Hii ni pamoja na amri kumi zinazopatikana katika kitabu cha Kutoka 20.. Agalia pia  Mathayo 25:1 (Wanawali kumi); Luka 17:17 (Wenye Ukoma kumi); Luka 15:8 (Uponyaji, Sarafu kumi).

12 – Uwakilisha kanisa na Mamlaka ya Mungu.

 • Yesu alikuwa na wafuasi 12.
 • Kulikuwa na makabila 12 ya Israeli.
 • Kwenye Ufunuo 12:1, Kuna wazee 24 pamoja na 144,000 ni zaidi ya 12.
 • Mji mpya wa Yerusalemu una misingi 12, milango 12, yadi 12,000, Mti uzaao matunda, aina kumi na mbili, ulikuwa mara kumi 12, ni sawa na 12,000 au siku 144,000. (angalia msitali wa )

40 – Uwakilisha kizazi na kipindi cha mpito, kipindi cha mafuriko mvua ilinyesha kwa siku 40, Musa aliishi katika jangwa kwa kipindi cha miaka 40, kama ilivyokuwa kwa wana wa israeli, Yesu alifunga kwa siku arobaini.

50 – Inawakilisha nguvu na maadhimisho ya Yubile iliyofanyika kila baada ya mwaka wa 40 (Mambo ya Walawi 25:10).Na siku ya pentecoste ilitokea mwaka wa 50 baada ya Yesu kufuka.(Matendo 20)

70 – Uwakilisha viongozi wa nchi na Hukumu, Musa alichagua wazee 70 , (Kutoka 24:1); Walikusanywa wazee 70. Yesu pia  alikusanya wafuasi wake 70 (Luka 10:1). Yesu alimwambia Petro asamehe saba mara sabini.