Bunda Evangelistic Compaign

Neno Kuu: VIELELEZO SAFARINI

Wiki Ya Kwanza Masomo Yatakuwa Kama Ifuatavyo:-

  1. Sunday  –  Ujumbe Kwa Msafiri
  2. Monday  – Mmiliki Wa Chombo Cha Usafirishaji
  3. Tuesday – Chuo Cha Usafirishaji
  4. Wednesday – Ajali Yatokea Safarini
  5. Thursday  – Madhara Ya Ajali Yawekwa Bayana
  6. Friday –  Usalama Barabarani Waboreshwa
  7. Saturday – Kipuli Cha Thamani Chazinduliwa

Ramani: Bunda Town nyuma ya Bunda Stadium

Andika Kwa:

  • Mkutano Mkubwa wa Injili
  • % Mch. Elly Mshitu
  • O. Box 148, BUNDA -Tanzania

d1

MKUTANO MKUU WA INJILI -BUNDA

Tumebaini mapungufu haya ambayo gharama zake zimeainishwa:-

1. Biblia 250@18000=4, 500, 000/=
2. Kuprient posts 200@2000= 400,000/=
3. Vitabu vya nyimbo 250@5000= 1,250,000/=
4. Microphones
➡ 1 for preacher ya kuweka kwenye koti = 200,000/=
➡ 4 sets za waimbaji @ 150,000= 600,000/=
5. Vipeperushi + Decision cards = 100,000/=

TOTAL = 7,000,000/= TSH.

Bado hujachelewa, kama kuna yeyeote anayewiwakuchangia mkutano huu, tafadhali wasiliana na Contacts hizo hapo juu. Asanteni.

Leave a Reply

Your email address will not be published.