2 Samweli 19

2 Samweli 19

OMBI: Baba yetu mwema wa Mbinguni, tunakushukuru sana kwa ajili ya upendo Wako, baraka Zako, rehema na msamaha kutoka Kwako. Tunakusihi Bwana utuongoze kwa namna ya pekee katika mwendelezo huu wa Usomaji wa Biblia kwa Mpango. Tusaidie ili tuweze kubadilishwa na kufanana Nawe katika usemi na mwenendo. Tunaomba tukiamini katika Jina la thamani la Yesu Kristo Mkombozi wetu. Amina!

UTANGULIZI: Baadhi ya matukio muhimu katika sura hii ni

  • (1) Daudi kumwombolezea Absalomu, mwanawe (1-8);
  • (2) Daudi arejea Yerusalemu (9-18);
  • (3) Daudi amsamehe Shimei (18-23);
  • (4) Daudi na Mfeboshethi, mwanawe Sauli, wakutana (24-30);
  • (5) Wema wa Daudi kwa Barzilai (31-39);
  • (6) Kutofautiana kwa Israeli na Yuda (40-43).

Leave a Reply

Your email address will not be published.