Maombi: Juni 11, 2018

SAA YA IBADA NA MAOMBI
Juni 11, 2018

AHADI ZA MUNGU KWAKO.
[1] Marejeo ya Kristo
[2] Ijara: Siku ya Mwisho

“Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulikisha yaliyositirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu..” (1 Wakorintho 3:11)

SIFA KWA MUNGU.
[1] Zawadi ya Uhai leo.
[2] Utakaso wa maisha yetu.
[3] Maombi yaliyojibiwa, yatakayojibiwa.

USHUHUDA/ SHUKRANI.
[1] Ukumbusho, Shukrani, na Sifa.

“Akawaagiza baadhi ya Walawi kwamba watumike mbele ya sanduku la Bwana, wamfanyie ukumbusho, na shukrani, na sifa, Bwana, Mungu wa Israeli.” (1 Nyakati 16:4)

MAOMBI YA JUMLA.
[1] Ushindi dhidi ya Mafarakano.
[2] Usomaji wa Biblia → 1 Wakorintho 4.
[3] Shauku ya kusoma Neno la Mungu.
[4] Wanaoteswa kwa ajili ya Injili.
[5] Wachungaji Ulimwenguni kote.
[6] Wagonjwa katika hopitali ya Memhis, TN.
[7] Ushindi dhidi ya dhambi zinazotajwa katika Sura ya Leo (1 Wakorintho 4)

MAOMBI MAALUM.
[1] Waliyo kata tamaa siku hii ya Leo.
[2] Reinet: Saratani ya tumbo.
[3] Ukuaji wa kiroho (Br. David)
[4] Dada anayetarajia kujifungua mwezi ujao.
[5] Vibali husika kwa ajili ya kituo cha Injili.
[6] Mchakato wa kuezeka paa la Kanisa (Kasino).
[7] Dada anayetafuta ajira, na mpenzi wa maisha.
[8] “Natokwa na damu nyingi pia najisikia mgongo na tumbo vinaniuma” (Mary)
[9] Maandalizi kwa ajili ya mwendelezo wa Masomo ya Biblia: 1 Wakorintho (46-BSG: 1 →16)

ANGALIZO: Unaalikwa:
[1] Kuombea changamotohizo hapo juu.
[2] Kuongeza jambo lako hapo chini.

SAUTI YA INJILI
(Chumba cha Maombi)