Maombi (Juni 10, 2018)

SAA YA IBADA NA MAOMBI
Juni 10, 2018

AHADI ZA MUNGU KWAKO.
[Kristo: Msingi wetu]

“Maana msingi mwingine hakuna mtu awezaye kuuweka, isipokuwa ni ule uliokwisha kuwekwa, yaani, Yesu Kristo.” (1 Wakorintho 3:11)

SIFA KWA MUNGU.
[1] Zawadi ya uhai leo.
[2] Msamaha wa dhambi zetu.
[3] Maombi yaliyojibiwa, yatakayojibiwa.

USHUHUDA/ SHUKRANI.
[1] Kumtolea Bwana dhabihu ya shukrani. “Tena mtakapomchinjia Bwana dhabihu ya shukrani, mtamchinja ili mpate kukubaliwa.” (Walawi 22:29)

MAOMBI YA JUMLA.
[1] Ushindi dhidi ya Uasherati.
[2] Usomaji wa Biblia → 1 Wakorintho 3.
[3] Shauku ya kusoma Neno la Mungu.
[4] Wanaoteswa kwa ajili ya Injili.
[5] Wainjilisti Ulimwenguni kote.
[6] Wagonjwa katika hopitali ya Muhimbili.
[7] Ushindi dhidi ya dhambi zinazotajwa katika Sura ya Leo (1 Wakorintho 3)

MAOMBI MAALUM.
[1] Waliyo kata tamaa siku hii ya Leo.
[2] Reinet: Saratani ya tumbo.
[3] Ukuaji wa kiroho (Br. David)
[4] Dada anayetarajia kujifungua mwezi ujao.
[5] Vibali husika kwa ajili ya kituo cha Injili.
[6] Mchakato wa kuezeka paa la Kanisa (Kasino).
[7] Dada anayetafuta ajira, na mpenzi wa maisha.
[8] Maandalizi kwa ajili ya mwendelezo wa Masomo ya Biblia: 1 Wakorintho (46-BSG: 1 →16)

ANGALIZO: Unaalikwa:
[1] Kuombea changamotohizo hapo juu.
[2] Kuongeza jambo lako hapo chini.

SAUTI YA INJILI
(Chumba cha Maombi)