Ibada: Juni 8, 2018

SAA YA IBADA NA MAOMBI
Marejeo: 1 Wakorintho 1.
Juni 8, 2018

AHADI ZA MUNGU KWAKO.
[Uaminifu wa Mungu]

“Mungu ni mwaminifu ambaye mliitwa na yeye mwingie katika ushirika wa Mwanawe, Yesu Kristo Bwana wetu.” (1 Wakorintho 1:9)

JAMBO LA KUMSHUKURU MUNGU.
[1] Maombi yaliyojibiwa, yatakayojibiwa.
[2] Ushirika na Yesu Kristo Bwana wetu. (f. 9)
[3] Mungu: Kututhibitisha hata mwisho (f. 8)

USHUHUDA.
[1] “Bwana Yesu asifiwe! Leo nina amani.” (BP)
[2] “Sasa nimeanza kuelewa kile anchosema Mungu katika kila sura ya Biblia. Asante Sauti ya Injili kwa maandalizi haya ya Mwongozo wa Biblia.” (AP)

MAOMBI YA JUMLA.
[1] Maombi: Saa moja faraghani na Bwana.
[2] Biblia: Usomaji wa Biblia → 1 Wakorintho.
[3] Umoja miongoni mwa watu wa Mungu.
[4] Wanaoteswa kwa sababu ya Injili.
[5] Wamisionari ulimwenguni kote.
[6] Vibali husika kwa ajili ya kituo cha Injili.
[7] Ushindi dhidi ya dhambi zinazotajwa katika Sura ya Leo (1 Wakorintho 1)

MAOMBI MAALUM.
[1] Ushindi dhidi ya ubinafsi.
[2] Mwongozo wa Biblia: 1 Wakorintho (46-BSG: 1 →16)
[3] Kukesha na Kuomba tukimngojea Bwana.
[4] Omba kwa ajili ya Waimbaji wote wa Injili.
[5] Omba kwa ajili ya Reinet: Saratani ya tumbo.
[6] Omba kwa ajili ya ukuaji wa kiroho (Bi Ncube)
[7] Dada anayetafuta ajira, na mpenzi wa maisha.

ANGALIZO. Unaalikwa:-
[1] Kuombea mambo hayo hapo juu.
[2] Kuongeza jambo lako hapo chini.

SAUTI YA INJILI
(Chumba cha Maombi)