Maombi: Mei 23, 2018

SAA YA IBADA NA MAOMBI
Mei 23, 2018

AHADI ZA MUNGU KWAKO.
[1] Tumekuwa wateule wa Yesu Kristo;
[2] Tumependwa na Mungu;
[3] Tumeitwa kuwa watakatifu.

“5 ambaye katika Yeye tulipokea neema na utume ili mataifa yote wapate kujitiisha kwa imani, kwa ajili ya jina Lake; 6 ambao katika hao ninyi mmekuwa wateule wa Yesu Kristo; 7 kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu.” (Rumi 1:5-7a)

SIFA/SHUKRANI
[1] Maombi yaliyojibiwa, yatakayojibiwa.
[2] Uhakika wa Wokovu (Rumi 1:16)
[3] Ms. Vosrter anaendelea vyema sasa.

USHUHUDA.
[1] “Ninataka kuwashukuru Sauti ya Injili na Timu ya Maombi, Bwana awabariki.’ (Bi L)

MAOMBI YA JUMLA.
[1] Ushindi dhidi ya ibada ya sanamu.
[2] Uvuvio katika usomaji wa Warumi.
[3] Umoja miongoni mwa watu wa Mungu.
[4] Wanaoteswa kwa sababu ya Injili.
[5] Wamisionari ulimwenguni kote.
[6] Mkutano wa Injili- (Mwaza, Tanzania).

MAOMBI MAALUM:
[1] Ushindi dhidi ya Ibada ya Sanamu.
[2] Mwongozo wa Biblia: Warumi (45-BSG: 1 →16)
[3] Kukesha na Kuomba tukimngojea Bwana.
[4] Omba kwa ajili ya nchi ya Misri.
[5] Omba kwa ajili ya Reinet: Saratani ya tumbo.
[6] Omba kwa ajili ya ukuaji wa kiroho (Bi Ncube)
[7] Dada anayetafuta ajira, na mpenzi wa maisha.
[8] Ununuzi wa kiwanja kwa ajili ya kituo cha Injili.
[9] Ombea kaka mmoja akiwa katika mitihani ya kumaliza Mwaka wa kwanza, chuoni.

SAUTI YA INJILI
(Chumba cha Maombi)