Maombi: Mei 10, 2018

SAA YA IBADA NA MAOMBI
Mei 10, 2018

AHADI ZA MUNGU KWAKO.
Mungu ashikaye Agano Lake.

“Basi jueni ya kuwa Bwana, Mungu wenu, ndiye Mungu; Mungu mwaminifu, ashikaye agano Lake na rehema Zake kwao wampendao, na kushika amri Zake, hata vizazi elfu.” (Torati 7:9)

SIFA/SHUKRANI
[1] Maombi yaliyojibiwa.
[2] Wokovu bure: “kwa Neema kupitia Imani.”

USHUHUDA.
[1] “Ninataka kuwashukuru Sauti ya Injili na Timu ya Maombi, Bwana awabariki.’ (Bi L)

MAOMBI YA JUMLA.
[1] ushindi dhidi ya ibada ya sanamu.
[2] Wasioamini kuamini Injili
[3] Umoja miongoni mwa watu wa Mungu.
[4] Wanaoteswa kwa sababu ya Injili.
[5] Wamisionari ulimwenguni kote.
[6] Mkutano wa Injili- (Mwaza).

MAOMBI MAALUM:
[1] Ushindi dhidi ya ponografia (NL).
[2] Masomo (Kitabu cha Matendo ya Mitume)
[3] Uamsho wa kiroho.” (BE).
[4] Omba kwa ajili ya Afrika ya Kusini.
[5] Omba kwa ajili ya Reinet: Saratani ya tumbo.
[6] Omba kwa ajili ya ukuaji wa kiroho (Bi Ncube)
[7] Dada anayetafuta ajira, na mpenzi wa maisha.
[8] Ununuzi wa kiwanja kwa ajili ya kituo cha Injili.
[9] Ombea kaka mmoja akiwa katika mitihani ya kumaliza Mwaka wa kwanza, chuoni.

SAUTI YA INJILI
(Chumba cha Maombi)