Agosti 6-12, 2017

WIKI HII KATIKA MAOMBI
Agosti 6-12, 2017

[1] Ombea kipawa cha “uadui” (cf. Mwazo 3:15); tuichukie dhambi na matendo yote ya mwili, lakini zaidi ya yote tuwe na “uadui” na Shetani.

[2] Ombea amani na utilivu katika nchi ya Kenya wanapokabiliwa na uchaguzi.

[3] Ombea uinjilisti kwa njia ya mtandao, ili watu wapate Injili, waokolewe, waingie mbinguni.

[4] Ombea maandalizi ya masomo ya Biblia katika mwezi huu.

[5] Ombea mwamko wa Ibada na Maombi kila siku.

[6] “Utume Gerezani”. Ombea Mr. Eliot Kisagwa anapoendelea kusimamia huduma hii.

[7] Ombea makambi na mikutano mbalimbali inayoendelea ya injili sasa.

[8] Ombea: wagonjwa, waliokata tamaa, wenye shida, waliorudi nyuma, n.k.

Ongeza ombi lako hapo chini:
[9] ………………………….
[10] ………………………..