48. 001-031: Wagalatia

KITABU CHA WAGALATIA
UTANGULIZI
Julai 1: (48-001)
Wagalatia 1:1-3

Utangulizi wa Kitabu
[1] Kichwa, Tarehe, Mwandishi.
[2] Mandhari Ya Nyuma
[3] Wahusika Wakuu
[4] Mada za Kiteologia
[5] Tabia ya Mungu
[6] Sauti Ya Injili


 

PAULO, MTUME
Julai 2: (48-002)
Wagalatia 1:1-3

Mawazo Makuu:
[1] Utambulisho wa Paulo
[2] Kazi ya Paulo
[3] Sauli hadi Paulo
[4] Sauti Ya Injili


 

HATI ZA UTAMBULISHO ZA PAULO
July 3: (48-003)
Wagalatia 1:1b

Mawazo Makuu:
[1] Paulo, Mtume.
[2] Si mtume wa wanadamu.
[3] Wala kutumwa na mwanadamu.
[4] Bali na Yesu Kristo, na Mungu Baba.
[5] Aliyemfufua kutoka kwa wafu.
[6] Sauti Ya Injili.