Juni 11-17, 2017

CHUMBA CHA MAOMBI

Changamoto za Kuombea Leo:
Jumatatu
Juni 12, 2017

 

(Uongozi) Tuombe uinjilisti wa TMI (Total Member Involvement)

(Uongozi) Ombea uinjilisti kwa njia hii ya mtandao, ili watu wapate Injili, waokolewe, waingie mbinguni.

(Uongozi) Ombea maandalizi ya masomo ya Biblia katika mwezi huu.

(Uongozi) Ombea mwamko wa Ibada na Maombi kila siku katika huduma hii.

(Zern) “Naombeni maombeni yenu napitia changamoto za kiuchumi”

(David) “Naomba mniombee kuna nyumba fulani naifuatilia, kama ni mapenzi ya Mungu.. niipate”

(Utume Gerezani) Mr. Eliot Kisagwa anapoendelea kusimamia huduma hii.