Ratiba: May 14-20, 2017

RATIBA/ SHERIA ZA KIKUNDI
(May 14 – May 20; 2017)

Karibuni wageni wetu katika “Sauti Ya Injili”. Lengo la Sauti Ya Injili ni kujifunza BIBLIA. Neno Injili ni habari njema za Kristo Yesu, zinavyoelezwa katika Maandiko Matakatifu. Ifuatayo ni Mwongozo mfupi wa vipindi vyetu katika wiki hii.

I. RATIBA YA VIPINDI WIKI HII
(May 14 – May 20; 2017)

[A] KILA ALFAJIRI: (Saa 11-12)

SAA YA IBADA NA MAOMBI
Kesha la Asubuhi
Changamoto za kuombea
Fungu la Kukariri
Nyimbo za Injili
Maombi ya Pamoja

[B] KILA ASUBUHI: (Saa 12-1)

INJILI YA ASUBUHI: Mfululizo # 123

MAWAZO MAKUU KATIKA WIKI HII:
123-015: Kwa sala zote na maombi
123-016: Wote wampendao Bwana
123-017: Wote wenye mwili watakujia
123-018: Agano la kumtafuta Bwana
123-019: Nampigia Baba magoti
123-020: Upana, Urefu, Kimo, na Kina
123-021: Yote tuyaombayo au tuyawazayo

[C] KILA ASUBUHI: (Saa 1-2)

BIBLIA SURA KWA SURA
22- 002: Wimbo Ulio Bora 2
22- 003: Wimbo Ulio Bora 3
22- 004: Wimbo Ulio Bora 4
22- 005: Wimbo Ulio Bora 5
22- 006: Wimbo Ulio Bora 6
22- 007: Wimbo Ulio Bora 7
22- 008: Wimbo Ulio Bora 8

[D] KILA ADHUHURI: (Saa 4-5)

UJENZI WA TABIA YA KIKRISTO
(Js) Matumizi mabaya ya mamlaka
(J2) Kupokea rushwa
(J3) Kukubali ushauri mbaya
(J4) Kujilimbikizia mali
(J5) Uzinzi/ Uasherati
(Al) Uchokozi, Vurugu
(Ij.) Hasira

[E] KILA MCHANA: (Saa 6-8)

MASWALI NA MAJIBU
Biblia: Sura Kwa Sura
Maswali na Majibu
Nyongeza/ Mjadala
Break (Mapumziko)
[F] KILA ALASIRI: (Saa 9-10)

VITA KUU KATI YA KRISTO NA SHETANI
135-001: Uwepo wa Shetani
135-002: Uumbaji wa Shetani
135-003: Hali ya asili ya Shetani
135-004: Dhambi na Anguko lake
135-005: Matokeo ya anguko lake
135-006: Ufalme wa Shetani
135-007: Mawakala wa Shetani

BREAK (Mapumziko)

[G] KILA JIONI: (Saa 11-1)

MWONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA
(Js) Yesu katika Maandishi ya Petro
(J2) Yesu, Kafara yetu
(J3) Mateso ya Kristo
(J4) Kufufuka kwa Kristo
(J5) Yesu kama Masihi
(Al) Yesu, Masihi aliye Mungu
(Ij.) Muhtasari wa wiki hii

[H] KILA USIKU (Saa 3-4)

IBADA YA JIONI
Nyimbo
Fungu la Usiku
Ombi la Mwisho
Usiku Mwema


II. SHERIA ZA KIKUNDI
Lugha: Kiswahili Tu.

Ni marufuku kupost yafuatayo:
(1) Malumbano/ Magomvi
(2) Kejeli/ Matusi
(3) Picha/ Video zisizofaa
(4) Siasa/ Michezo/ Starehe
(5) Matangazo ya Biashara
(6) Kubadilisha Jina la Group

RUHUSA: Waweza post nafasi za kazi (ajira); maana watu wengi hawana kazi.

 

III. ANGALIZO:
Ye yote aliye na shauku ya kuleta masomo mengine ya Biblia – tofauti na hayo hapo juu- tafadhali awasiliane na Uongozi, ili masomo hayo nayo yapangiwe vipindi.

SWALI: Kwanini tunaletewa sheria na ratiba hizi?

JIBU: Ili kuepuka machafuko/ malumbano.

1 Wakorintho 14:40
Lakini mambo yote na yatendeke kwa Uzuri na kwa Utaratibu.”

 

TIMU YA VIONGOZI
Sauti Ya Injili
Maboresho: May 13, 2017

Sauti Ya Injili SDA © 2017