Maombi na Kumfikilia Mungu

4-16-17: (1/7) Ili Waonekane Na Watu

Tena msalipo, msiwe kama wanafiki; kwa maana wao wapenda kusali hali wamesimama katika masinagogi na katika pembe za njia, ili waonekane na watu. Amin, nawaambia, Wamekwisha kupata thawabu yao. (Matayo 6:5)

4-17-17: (2/7) Chumba Chako Cha Ndani

Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.(Matayo 6:6)

4-18-17: (3/7) Baba Yako Aliye Sirini

Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.(Matayo 6:6)

Muhtasari Wa Mawazo Makuu:
(1) Asili ya Mungu
(2) Mungu ni Roho
(3) Asili ya Mwanadamu
(4) Sauti Ya Injili
(5) Tufanye nini basi na Injili hii?

4-19-17: (4/7) Msipayuke-Payuke

4-20-17: (5/7) Anajua Mnayohitaji

4-21-17: (6/7) Aliyeingia Katika Mbingu

4-22-17: (7/7) Tukikaribie Kiti Cha Neema