Aprili 13, 17: “Yesu Kwa Imani”

SAA YA IBADA NA MAOMBI 

http://tgvs.org/archives/2495  

 • Aprili 13, 17: “Yesu Kwa Imani
 • Muda: Kila Alfajiri (5am-6am)

 

NZK # 123; “YESU KWA IMANI”
(My Faith Looks up to Thee)

1.
Yesu Kwa Imani, nakutumaini, peke Yako;
Nisikie sasa, na kunitakasa,
Ni wako kabisa Tangu leo.

2.
Nipe nguvu pia za kusaidia moyo wangu;
Ulikufa Wewe, wokovu nipewe,
Nakupenda Wewe, Bwana wangu.

3.
Hapa nazunguka katika mashaka, na matata;
Palipo na giza utaniongoza,
Hivi nitaweza, kufuata.

 


 

CHANGAMOTO ZA  KUOMBEA LEO

 1. Familia zenye migogoro
 2. Nafasi za ajira
 3. Wanafuzi; Walimu; Ada
 4. Dada anayehitaji kukua kiroho
 5. Anayetafuta mwenzi wa maisha
 6. Radio Morning Star & Staff wote
 7. Ujazo wa Roho Mtakatifu.
 8. Upendo, Umoja, Msamaha.
 9. Timu ya Maombi

 

TUFANYE NINI BASI NA KIPINDI HIKI?

 1. Weka Ombi (Audio/Text)
 2. Weka Ushuhuda
 3. Weka mahitaji yako
 4. Jikabidhi kwa Mungu wako sasa.

BWANA ATUBARIKI SOTE!