April 11, 17: Ee Yesu, nikumbuke

SAA YA IBADA NA MAOMBI 

http://tgvs.org/archives/2485

 • April 11, 17: Ee Yesu, nikumbuke
 • Muda: Kila Alfajiri (5am-6am)

 

 

WAZO FUPI: Luka 23:39-43

39 Na mmoja wa wale wahalifu waliotungikwa alimtukana, akisema, Je! Wewe si Kristo? Jiokoe nafsi yako na sisi.

40 Lakini yule wa pili akamjibu akamkemea, akisema, Wewe humwogopi hata Mungu, nawe u katika hukumu iyo hiyo?

41 Nayo ni haki kwetu sisi, kwa kuwa tunapokea malipo tuliyostahili kwa matendo yetu; bali huyu hakutenda lo lote lisilofaa.

42 Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme Wako.

43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.


 

CHANGAMOTO ZA  KUOMBEA LEO

Jamii: Magonjwa, Mikosi, Vifo

MENGINEYO:

 1. Lewis aliyefiwa na mama yake
 2. Radio Morning Star & Staff wote
 3. Ujazo wa Roho Mtakatifu.
 4. Upendo, Umoja, Msamaha.
 5. Timu ya Maombi

 

TUFANYE NINI BASI NA KIPINDI HIKI?

 1. Weka Ombi (Audio/Text)
 2. Weka Ushuhuda
 3. Weka mahitaji yako
 4. Jikabidhi kwa Mungu wako sasa.

 

BWANA ATUBARIKI SOTE!