40-011: Ubatizo wa Yesu Kristo

BIBLIA: “Soma, Elewa, Shuhudia”

INJILI YA ASUBUHI: MATAYO MTAKATIFU


 

UBATIZO WA YESU KRISTO

MATAYO 3:5-12

13 Wakati huo Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Yordani kwa Yohana ili abatizwe.

14 Lakini Yohana alitaka kumzuia, akisema, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu?

15 Yesu akajibu akamwambia, Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Basi akamkubali.

16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu Yake;

17 Na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, Mpendwa Wangu, Ninayependezwa Naye.


 

MAWAZO MAKUU KATIKA INJILI YA LEO:

UTANGULIZI

 • Madhumuni ya Kitabu cha Matayo
 • Mfalme na Ufame Wake
 • Sherehe za Uzinduzi wa Serikali mpya
 • Kutoka Galilaya mpaka Yordani
 • Baptize = “to dip,” “to immerse”

UBATIZO WA MUNGU MWANA

 • Lengo (Mt 3:13)
 • Kusitasita (Mt 3:14a)
 • Kipingamizi (Mt 3:14b)
 • Ufafanuzi (Mt 3:15a)
 • Mwangaza (Mt 3:15b)
 • Utii wa Yohana (Mt 3:15c)

SABABU ZA UBATIZO WA MWANA

UTHIBITISO WA MUNGU ROHO (Mt 3:16)

 • Naye Yesu alipokwisha kubatizwa
 • Mara akapanda kutoka majini;
 • Na tazama, mbingu zikamfunukia,
 • Akamwona Roho wa Mungu
 • Akishuka kama hua, akija juu Yake;

UTHIBITISO WA MUNGU BABA (Mt 3:17)

Na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema,

 • Huyu ni Mwanangu,
 • Mpendwa Wangu, [Agapetos]
 • Ninayependezwa Naye

TUFANYE NINI BASI NA SOMO HILI?


 

MWITIKIO WETU

 

NZK # 188: Wimbi Litakasalo

 • [O Now I See The Crimson Wave]
 1. Wimbi la damu ya Yesu Linatutakasa; Aliumba kusudi Tupate uzima
 2. Damu inasema kwamba, Nasikia mvuto; Inasema, moyo wangu Hutakaswa nayo.
 3. Naondoka kutembea Kwa nuru ya mbingu; Mavazi yamesafishwa; Moyoni ni Yesu.
 4. Neema ni ya ajabu, Kutakaswa ndani! Na kuwa naye Yesu tu, Aliye Mwoko
 • Wimbi La Damu Naona Naingia Natakaswa!
 • Bwana Asifiwe Sana, Hutakasa, Hutakaswa.

 

NITASIKILIZAJE INJILI YA LEO?

 • Bofya link hiyo katika Tovuti
 • Bofya link hiyo katika Mobile App
 • Mobile App: The Gospel’s Voice
 • Pakua Audio hii hapa.

BWANA ATUBARIKI SOTE!

 

The Gospel’s Voice © 2017