65-001 Uongo: Utangulizi wa Yuda

UONGO: MAFUNDISHO YA UONGO

 • http://tgvs.org/archives/2211
 • 65-001: Uongo: Mafundisho Ya Uongo
 • Kitengo: Kitabu cha Yuda
 • Msisitizo: Kuukataa Uongo na Kuuchagua Ukweli
 • Fungu Kuu: Yuda 1–3
 • Wimbo mkuuNZK # 52: Nipe Biblia

 

WAEBRANIA 1:1-3

 • 1 Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo, ndugu yake Yakobo, kwa hao walioitwa, waliopendwa katika Mungu Baba, na kuhifadhiwa kwa ajili ya Yesu Kristo.
 • 2 Mwongezewe rehema na amani na upendano.
 • 3 Wapenzi, nilipokuwa nikifanya bidii sana kuwaandikia habari ya wokovu ambao ni wetu sisi sote, naliona imenilazimu kuwaandikia, ili niwaonye kwamba mwishindanie imani waliyokabidhiwa watakatifu mara moja tu.

 

ANGALIZO: Waweza fuatilia Injili hii katika njia zifuatazo:

 • Tovuti: http://tgvs.org/archives/2211
 • Facebook: Magroup mbalimbali ya Injili
 • Whatsapp: Magroup mbalimbali ya Injili
 • Mobile App: The Gospel’s Voice: Archives/ Kiswahili/ Mahubiri/ Agano Jipya/ Yuda

 

BWANA ATUBARIKI SOTE!