104-005: Mamajusi wa Mashariki

 

BIBLIA: “Soma, Elewa, Shuhudia”

INJILI YA ASUBUHI:  MATAYO MTAKATIFU

104-005:  Mamajusi wa Mashariki


 

Matayo 2:1-2

1 Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, mamajusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema,

2 Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota Yake Mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.

 

MASWALI MUHIMU LEO:

  1. Je, neno hili “mamajusi” linamaana gani? (Matayo 2:1)
  2. Je, kishazi hiki “mamajusi wa mashariki” kina maana gani?
  3. Je, mamajusi hawa wana umuhimu gani katika Injili ya Matayo?
  4. Tufanye nini basi na somo la Leo?

 


THE GOSPEL’S VOICE APP

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.subsplash.thechurchapp.s_G75V73&hl=en

Fuata Hatua zifutazo ili kusikia Injili Ya Asubuhi

  1. Pakua TGV App (Google Play)
  2. Bonyeza: “Swahili”
  3. Bonyeza: “Mahubiri”
  4. Bonyeza: “Injili Ya Asubuhi”
  5. Bonyeza: “TGV Kila Neno”

BWANA ATUBARIKI SOTE!