104-004: Mungu Pamoja Nasi

BIBLIA: “Soma, Elewa, Shuhudia”

INJILI YA ASUBUHI:  MATAYO MTAKATIFU

104-004:  Mungu Pamoja Nasi

Matayo 1:21-23

  • 21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
  • 22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii akisema,
  • 23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa Mwana; Nao watamwita Jina Lake Imanueli; Yaani, Mungu Pamoja Nasi.

 

MASWALI MUHIMU LEO:

  1. Je, neno hili “Imanueli” linamaana gani? (Matayo 1:23)
  2. Je, kishazi hiki “Mungu Pamoja Nasi” kina maana gani?

 


THE GOSPEL’S VOICE APP

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.subsplash.thechurchapp.s_G75V73&hl=en 

Fuata Hatua zifutazo ili kusikia Injili Ya Asubuhi

  • Pakua TGV App (Google Play)
  • Bonyeza: “Swahili”
  • Bonyeza: “Mahubiri”
  • Bonyeza: “Injili Ya Asubuhi”
  • Bonyeza: “TGV Kila Neno”

BWANA ATUBARIKI SOTE!