104-002: Alivyokuwa Mtu wa Haki

 

BIBLIA: “Soma, Elewa, Shuhudia”

INJILI YA ASUBUHI:  MATAYO MTAKATIFU

104-002:  Alivyokuwa Mtu wa Haki

  • Kitengo: TGV Kila Neno
  • Neno Kuu: δίκαιος (dikaios) = Mwenye Haki
  • Fungu Kuu: Matayo 1:18-19
  • http://tgvs.org/archives/2101
  • Mobile App: The Gospel’s Voice – Swahili

Matayo 1:18-20

18 Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

19 Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.

20 Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

 


 

THE GOSPEL’S VOICE APP

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.subsplash.thechurchapp.s_G75V73&hl=en

 

Fuata Hatua zifutazo ili kusikia Injili Ya Asubuhi

  • Pakua TGV App (Google Play)
  • Bonyeza: “Swahili”
  • Bonyeza: “Mahubiri”
  • Bonyeza: “Injili Ya Asubuhi”
  • Bonyeza: “TGV Kila Neno”

 

BWANA ATUBARIKI SOTE TUNAPOENDELEA KUISIKIA SAUTI YAKE.