Ushuhuda, October 13, 2016

Job

  • Pia niko na shukrani kwa maulana kwa kunitunza kwa wakati huu wote.
  • Mwezi miwili iliyopita tulikuwa tunaombea mama alikuwa na kidonda kwa mguu. Nashukuru mungu Jana nilimuona ako saws na ngozi ya mguu ni nyepesi na nzuri kama ya mototo. Anaweza Fanya kazi yake bila shida.
  • Pia narudishia mungu shukrani kwa kuongoza mkutano wa injili mpaka ukaisha vizuri.
  • Watu 24 walipatizwa kwa maji mengi kwa uwezo wake mungu.
  • Tuzidi kuwaombea hao ndugu zetu ambao ni wachanga katika imani ya kiadventista.

Shija

  • Ni kama week mbili zilizopita nilitoa rai ya maombi kwa mama yangu  ambaye alikuwa akisumbuliwa na kisukari, n.k.
  • Namshukuru Mungu kwani maombi yako na yangu Mungu amejibu
  • Jana sukari mwilini nimepima na ikawa 18.3 toka 31.9 km ilivyokuwa mwanzo
  • Mungu ni mwema tuendelee kumtumainia