58-022 SABATO: Utangulizi

Silhouettes of Three Crosses
UTAFITI WA KIBIBLIA KUHUSU SABATO
Mfululizo Wa Injili Ya Asubuhi Katika Waebrania 4
- 58-022 – SABATO: Utangulizi
- Fungu Kuu (Waebrania 4:9)
- Neno Kuu: σαββατισμός (sabbatismos)
NITAPATAJE FUNDISHO LA LEO?
- Download Audio Hapo chini, AU
- Bofya Hapa: http://tgvs.org/archives/1906
- Sikiliza kupitia Mobile App
ILI KUPATA MOBILE APP, ZINGATIA HATUA ZIFUATAZO
- Download: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.subsplash.thechurchapp.s_G75V73&hl=en
- Tafuta: “Swahili”
- Mahubiri
- Agano Jipya
- Waebrania
- 58-022 “SABATO –Utangulizi”
TUFANYE NINI BASI?
Isaya 58:13-14
- 13 Kama ukigeuza mguu wako usihalifu sabato,
- Usifanye anasa yako SIKU YA UTAKATIFU WANGU;
- Ukiita sabato SIKU YA FURAHA,
- Na SIKU TAKATIFU YA BWANA yenye heshima;
- Ukiitukuza, = kwa Kutokuzifanya Njia Zako Mwenyewe,
- Wala KUYATAFUTA YAKUPENDEZAYO,
- Wala kusema Maneno Yako Mwenyewe;
- 14 ndipo utakapojifurahisha katika BWANA;
- Nami Nitakupandisha Mahali Pa Nchi Palipoinuka;
- Nitakulisha Urithi Wa Yakobo Baba Yako;
- Kwa Maana = Kinywa Cha Bwana Kimenena Hayo.
BWANA ATUBARIKI SOTE!