58-020 Kujitenga Mbali Na Mungu Aliye Hai (Ebr. 3:12-15)

Kujitenga Mbali Na Mungu Aliye Hai

 • Key Text: Ebr. 3:12-15
 • 58-020
 • Neno Kuu: φίστημι (aphistēmi): Kujitenga

UTANGULIZI

 1. Neno Kuu: φίστημι (aphistēmi): Kujitenga
 2. Matumizi ya Neno “Departing”: Kujitenga

KUJITENGA NA MUNGU ALIYE HAI. (Ebr. 3:12)

 1. Angalieni,
 2. Ndugu Zangu,
 3. Usiwe Katika Mmoja Wenu Moyo Mbovu;
 4. Usiwe Katika Mmoja Wenu Moyo Wa Kutokuamini,
 5. Kwa Kujitenga Na Mungu Aliye Hai.

NASAHA KWA WALENGWA (Ebr. 3:13)

 1. Lakini Mwonyane Kila Siku,
 2. Maadamu Iitwapo Leo;
 3. Ili Mmoja Wenu Asifanywe Mgumu
 4. Kwa Udanganyifu Wa Dhambi.

UKUMBUSHO RASMI (Ebr. 3:14)

 1. Tumekuwa Washirika Wa Kristo,
 2. Tukishikamana Na Mwanzo Wa Uthabiti Wetu
 3. Kwa Nguvu Mpaka Mwisho;

TUFANYE NINI BASI? (Ebr. 3:15)

 1. Hapo Inenwapo, Leo,
 2. Kama Mtaisikia Sauti Yake,
 3. Msifanye Migumu Mioyo Yenu,
 4. Kama Wakati Wa Kukasirisha.

 

12 Angalieni, ndugu zangu, usiwe katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutokuamini, kwa kujitenga na Mungu aliye hai.
13 Lakini mwonyane kila siku, maadamu iitwapo leo; ili mmoja wenu asifanywe mgumu kwa udanganyifu wa dhambi.
14 Kwa maana tumekuwa washirika wa Kristo, kama tukishikamana na mwanzo wa uthabiti wetu kwa nguvu mpaka mwisho;
15 hapo inenwapo, Leo, kama mtaisikia sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu, Kama wakati wa kukasirisha.

 

58-020 PPT