8-31-2016

CHANGAMOTO MBALIMBALI WIKI HII;
- 8-28-2016 Hadi 9-3-2016
CHANGAMOTO ZA WATU BINAFSI:
- (Sarah)Katika matokeo yake ya Chuo, kuna somo amepungikiwa poit 2, ameshauriwa ku appeal. Tumombee
- (Milembe)Hana kazi, amejaza application nyingi za kazi.
- (Joaharigo) Anumwa meno na miguu; (2) Bintiye Latifa anatafuta kazi
- (Aiden)Kazi ya mikono yake imekuwa na changamoto nyingi, Bwana Aingilie kati
- (Getruda)Tumuombee mjomba wake ayashinde majaribu
- (Flora)Mama yake anasumbuliwa na Presure
- (Jumanne)Mama yake anaumwa kifua, kila akitumia dawa haponi
- (Shingashinga) Awe miongoni mwa watakaochaguliwa; (2) Gharama za Chuo: Ada; (3) Changamoto za familia yake: Wazazi wake.
- (Simon)Ombi rasmi kwa mkwe wake ambaye si wa Imani hii – aweze kuamini. (2)Uwezo wa kupata fedha za ununuzi wa Bati & Mbao kwa ajili ya paa yake. (3) Awe mwaminifu katika utoaji wa Zaka na Sadaka. Tumuombee
- (Siyajali)“tumwombee mtoto Cleopatra ambae analia sana nyakati za usiku,!akilazwa kitandani tu analia utafikir kitanda kina miba”.
- (Daniel)Tumombee mgonjwa wangu “Mispina D. Kasara- anasumbuliwa na akili tangu 1994”.
- (HHES STU)Tuwaombee HHES (timu ya Wainjilisti wetu) “katika mipango yao ya upelekaji Injili kwa njia ya vitabu”.
- (HHES STU)Tuombee kitabu cha Utume “The Story of Hope”kiswahili “Pendo Lisilo Kifani” tunao mpango kitabu kiwetayari ifikapo October. Tuliweke kwenye maombi.