58-019 Msifanye Migumu Mioyo Yenu (Ebr. 3:7-11)

Waebrania 3:7-11

 • 7 Kwa hiyo, kama anenavyo Roho Mtakatifu, Leo, kama mtaisikia sauti yake,
 • 8 Msifanye migumu mioyo yenu, Kama wakati wa kukasirisha, Siku ya kujaribiwa katika jangwa,
 • 9 Hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, Wakaona matendo yangu miaka arobaini.
 • 10 Kwa hiyo nalichukizwa na kizazi hiki, Nikasema, Sikuzote ni watu waliopotoka mioyo hawa; Hawakuzijua njia zangu;
 • 11 Kama nilivyoapa kwa hasira yangu, Hawataingia rahani mwangu.

 

MSIFANYE MIGUMU MIOYO YENU

 • 58-019
 • Waebrania 3:7-11

UTANGULIZI

 1. Neno Kuu: σκληρύνω (sklērynō)
 2. Siku Nne katika Injili ya Waebrania

CHUO KIKUU CHA ROHO MTAKATIFU

 1. Ugumu wa Mioyo
 2. Ushahidi wa Uvuvio wa Maandiko (3:7)

SAUTI YA MUNGU & MFANO WA ISRAELI

 1. Israeli katika nyumba ya Utumwa
 2. Wokovu toka Utumwani
 3. Kujaribiwa Jangwani
 4. Kumjaribu na Kumpima Mungu
 5. Kuona “Matendo Yangu Miaka Arobaini”

GHADHABU YA HASIRA YAKE

 1. Nalichukizwa Na Kizazi Hiki
 2. Sikuzote Ni Watu Waliopotoka Mioyo Hawa
 3. Hawakuzijua Njia Zangu;
 4. Hawataingia Rahani Mwangu

SAUTI YA BWANA

 1. Msifanye migumu mioyo yenu (3:8)
 2. Sauti Ya Injili

 

 

108. Tumesikia Mbiu

 • We Have Heard a Joyful Sound

  1. Tumesikia mbiu: Yesu huokoa;
  Utangazeni kote, Yesu Huokoa.
  Tiini amri hiyo: nchimi baharini,
  Enezeni mbiu hii: Yesu huokoa.

  2. Imba nawe askari: Yesu huokoa;
  Kwa nguvu ya kombozi, Yesu huokoa;
  Imbeni wenye shida, unapounwa moyo,
  Na kaburini imba: Yesu huokoa.

  3. Mawimbini uenee. Yesu huokoa.
  Wenye dhambi jueni: Yesu huokoa;
  Visiwa na viimbe, vilindi itikeni,
  Na nchi shangilie: Yesu huokoa.

  4. Upepo utangaze: Yesu huokoa.
  Mataifa ya shangaa: Yesu huokoa;
  Milimani, bondeni, sauti isikike
  Ya winbo wa washindi: Yesu huokoa.