9 ila twamwona yeye aliyefanywa mdogo punde kuliko malaika, yaani, Yesu, kwa sababu ya maumivu ya mauti, amevikwa taji ya utukufu na heshima, ili kwa neema ya Mungu aionje mauti kwa ajili ya kila mtu.
10 Kwa kuwa ilimpasa yeye, ambaye kwa ajili yake na kwa njia yake vitu vyote vimekuwapo, akileta wana wengi waufikilie utukufu, kumkamilisha kiongozi mkuu wa wokovu wao kwa njia ya mateso.
Injili Ya Asubuhi ya Leo
Fungu Kuu: Waebrania 2:10
Neno Kuu: archēgos
58-009: YESU-Kiongozi Mkuu wa wokovu wetu
Muhtasari wa Somo
Masihi kama Mkombozi ktk Agano la Kale
Kuleta wana wengi waufikilie Utukufu
Kristo Yesu alivyo kamilishwa
Mwito wa Leo: Tufanye nini basi na Injili hii ya Leo