58-005b Sisi Je, Tutapataje Kupona? (Waebrania 2:1-4)

Waebrania 2:1-4

1 Kwa hiyo imetupasa kuyaangalia zaidi hayo yaliyosikiwa tusije tukayakosa.
2 Kwa maana, ikiwa lile neno lililonenwa na malaika lilikuwa imara, na kila kosa na uasi ulipata ujira wa haki,
3 sisi je! Tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii? Ambao kwanza ulinenwa na Bwana, kisha ukathibitika kwetu na wale waliosikia;
4 Mungu naye akishuhudu pamoja nao kwa ishara na ajabu na nguvu za namna nyingi, na kwa magawanyo ya Roho Mtakatifu, kama alivyopenda mwenyewe.


Kwa nini tuzingatie Maonyo ya Yesu Kristo?

  1. Tabia ya Yesu
  2. Uhakika wa Hukumi ijayo
  3. Ushahidi wa Malaika
  4. Hukumu ya Haki
  5. Uthibitisho wa Mungu, Roho Mtakatifu