58-004 Yesu: “Bora kuliko Malaika” (Waebr. 1:7-9)

Waebr. 1:7-9
- 7 Na kwa habari za malaika asema, Afanyaye malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto.
8 Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi,Mungu,ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.
9 Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.
Kwa nini Yesu ni Bora kuliko Malaika?
JIBU: Waebrania Sura ya 1:4-14
- Kwa Asilia Yeye ni “Bora kuliko Malaika” (The Reality)
- (4a) amefanyika bora kupita malaika (Hebrews 1:4)
- Jina bora kuliko la Malaika
- (4b) kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao. (Hebrews 1:4)
- Mzaliwa wa Kwanza
- (5a) Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? (Hebrews 1:5)
- Mwana wa Mungu
- (5b) Na tena, Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana? (Hebrews 1:5)
- Anasujudiwa na Maika
- (6) Hata tena, amletapo mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, asema, Na wamsujudu malaika wote wa Mungu. (Hebrews 1:6)
- Malaika ni watumishi wake
- (7) Na kwa habari za malaika asema, Afanyaye malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto. (Hebrews 1:7)
- Yeye ni Mungu, Mfalme, Mtawala
- (8) Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi,Mungu,ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili. (Hebrews 1:8)
- Yeye ni Mwenye Haki
- (9) Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio. (Hebrews 1:9)
- Yeye ni Mpakwa Mafuta wa Bwana
- (9) Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio. (Hebrews 1:9)
- Yeye ni Muumbaji
- (10) Na tena, Wewe,Bwana,hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako; (Hebrews 1:10)
- Yeye ndiye Mtegemeza
- (10) Na tena, Wewe,Bwana,hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako; (Hebrews 1:10)
- Yeye yu Hai Milele [Umilele wake]
- (11) Hizo zitaharibika, bali wewe unadumu; Nazo zote zitachakaa kama nguo,
- (12) Na kama mavazi utazizinga, nazo zitabadilika; Lakini wewe u yeye yule, Na miaka yako haitakoma. (Hebrews 1:11-12)
- Yeye ameketi Mkono wa Kuume wa Baba
- (13) Je! Yuko malaika aliyemwambia wakati wo wote, Uketi mkono wangu wa kuume Hata nitakapoweka adui zako chini ya nyayo zako? (Hebrews 1:13)
- Yeye ni Hakimu Mkuu

- Yeye ni Amiri Jeshi Mkuu
- (14) Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu? (Hebrews 1:14)