Amri ya Kwanza

Usiwe na miungu mingine ila Mimi.

 

Kutoka 20:3

1 Mungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.

z1