58-002 (Sifa 7 za Ukuu wa Yesu Kristo)

SIFA 7 ZA UKUU/ UUNGU WA YESU KRISTO

Waebrania 1:1-3

1 Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,
2 Mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa Yeye aliufanya ulimwengu.
3 Yeye kwa kuwa ni mng’ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu.

 Sifa Saba ni zipi?

  1. Urithi Wake
  2. Uumbaji Wake
  3. Mwangaza Wake
  4. Chapa ya Nafsi Yake
  5. Utawala Wake
  6. Kafara Yake Kuu
  7. Kuadhimishwa Kwake

a35