7-2-2016

KARIBUNI KATIKA IBADA YA ASUBUHI
Saa 11 (Nyimbo za Injili)
Saa 12 (Maombi ya Jumla)
Saa 1 (Injili Ya Leo Asubuhi)
SIFA & SHUKRANI: Mshukuru MUNGU kwa:
Tabia yake isiyobadilika
Baraka tele & Uaminifu wake kwetu
Msamaha wa dhambi zetu
Nafasi nyingine ya Uhai Leo.
RATIBA YA MAOMBI SIKU HII YA LEO
• Huduma Ya Neno la Injili
WAGONJWA WETU
Babu mwenye Kansa ya Ini huko Kenya
Babu yake Mr. Wisley kapelekwa Hospitalini
Zaidi ya Majeruhi 200 (Uturuki, Istanbull Airport)
Waliopata ajali jana (wachungaji)
CHANGAMOTO ZINGINE
Kilele cha Mkutano Mkuu wa Injili -Bunda
Makambi yanayoendea sasa sehemu mbalimbali
Sehemu ya kuendeshea mkutano ujao.
Bajeti ya Biblia, na vipaza Sauti
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Iringa.
Tuwaombee vijana katika karne ya 21
KAMPENI ZA INJILI
TN, USA (July 24-30; 2016)
Bunda –Tanzania (June 12- July 2; 2016)
Uzumba –Zimbabwe (September 11-25; 2016)
USHUHUDA WA LEO.
Watoto wadogo wa Barbra (10 & 8 yrs old) wameacha tabia zao mbaya na wamemwambia Mama yao kua wataanza kuomba na kufunga. Tuzidi kuwaombea.
AHADI YA LEO: (Isaya 66:23)
Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema Bwana
TUNAKARIBISHWA KUFANYA YAFUATAYO:
Kutoa ushuhuda wa Matendo makuu ya MUNGU
Kuweka Audios za Maombi (Sauti)
Kutujulisha kama OMBI LAKO limejibiwa
Kushiriki kipindi kingine cha maombi ya Jioni (Saa 3 Usiku)
KARIBUNI KATIKA CHUMBA CHA MAOMBI ILI TUSHIRIKI IBADA YA MAOMBI YA JUMLA PAMOJA.
July 02, 2016