7-1-2016

KARIBUNI KATIKA IBADA YA ASUBUHI
1) Saa 11 (Nyimbo za Injili)
2) Saa 12 (Maombi ya Jumla)
3) Saa 1 (Injili Ya Leo Asubuhi)

SIFA & SHUKRANI: Mshukuru MUNGU kwa:
1) Tabia yake isiyobadilika
2) Baraka tele & Uaminifu wake kwetu
3) Msamaha wa dhambi zetu
4) Nafasi nyingine ya Uhai Leo.

RATIBA YA MAOMBI SIKU HII YA LEO
• Kazi ya Injili Ulimwenguni

WAGONJWA WETU
1) Babu mwenye Kansa ya Ini huko Kenya
2) Babu yake Mr. Wisley kapelekwa Hospitalini
3) Zaidi ya Majeruhi 200 (Uturuki, Istanbull Airport)
4) Waliopata ajali jana (wachungaji)

CHANGAMOTO ZINGINE
1) Kilele cha Mkutano Mkuu wa Injili -Bunda
2) Ubatizo wa Leo-(watu 40) Bunda
3) Makambi yanayoendea sasa sehemu mbalimbali
4) Sehemu ya kuendeshea mkutano ujao.
5) Bajeti ya Biblia, na vipaza Sauti
6) Wanafunzi wa chuo kikuu cha Iringa.
7) Tuwaombee vijana katika karne ya 21

KAMPENI ZA INJILI
1) TN, USA (July 24-30; 2016)
2) Bunda –Tanzania (June 12- July 2; 2016)
3) Uzumba –Zimbabwe (September 11-25; 2016)

USHUHUDA WA LEO.

Watoto wadogo wa Barbra (10 & 8 yrs old) wameacha tabia zao mbaya na wamemwambia Mama yao kua wataanza kuomba na kufunga. Tuzidi kuwaombea.

AHADI YA LEO: (Isaya 2:3)

  • Na mataifa mengi watakwenda na kusema, Njoni, twende juu mlimani kwa Bwana, nyumbani kwa Mungu wa Yakobo, naye atatufundisha njia zake, nasi tutakwenda katika mapito yake maana katika Sayuni itatoka sheria, na neno la Bwana katika Yerusalemu.

TUNAKARIBISHWA KUFANYA YAFUATAYO:
• Kutoa ushuhuda wa Matendo makuu ya MUNGU
• Kuweka Audios za Maombi (Sauti)
• Kutujulisha kama OMBI LAKO limejibiwa
• Kushiriki kipindi kingine cha maombi ya Jioni (Saa 3 Usiku)

KARIBUNI KATIKA CHUMBA CHA MAOMBI ILI TUSHIRIKI IBADA YA MAOMBI YA JUMLA PAMOJA.

www.tgvs.org
July 01, 2016