Shukrani kwa Mungu

OMBI LA SIFA NA SHUKRANI KWA MUNGU

Tombe wapendwa, (Zaburi 92:1-2)

1 Ni neno jema kumshukuru Bwana, Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu.
2 Kuzitangaza rehema zako asubuhi, Na uaminifu wako wakati wa usiku.

Asante BWANA kwa Tabia yako isiyobadilika.
Asante BWANA kwa Fadhili zako
Asante BWANA kwa Uaminifu wako
Asante BWANA kwa Baraka zako
Asante BWANA kwa Msamaha wako
Asante BWANA kwa Upendo wako
Asante BWANA kwa Wokovu wako
Asante BWANA kwa Fadhili wako

Bariko watoto wako wanapokulilia siku hii ya leo. Utuhurumie sote Bwana, Ebu sala na dua zetu zipate kibali machoni pako BWANA.

Tumeomba haya katika Jina la BWANA na Mwokozi wetu, YESU KRISTO, Amina.