NK # 218

(NK # 218) YESU MWOKOZI MPENDWA

  • (Wonderful, Wonderful Jesus)

Yesu Mwokozi Mpendwa.
Hakuna Mwingine!
Yesu Mwokozi Mpendwa,
Yesu Mwokozi Mpendwa,
Nakutazama Wewe Pekee,
Yesu Mwokozi Mpendwa,
Ninakutafuta;
Wewe U Mali Yangu.
Sasa Na Milele.