0002-TGVS-81

Somo: KATIKA WENYE DHAMBI
- Jumatatu: 6/6/2016
- Fungu Kuu: 1 Timothy 1: 15
Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya kwamba Kristo Yesu alikuja ulimwenguni awaokoe wenye dhambi; ambao wa kwanza wao ni mimi.
MUHTASARI WA SOMO:
- Ni Neno La Kuaminiwa,
- Ni Neno Linalostahili Kukubalika Kabisa,
- Ni Neno Linalohusu KRISTO YESU (NENO)
- Alikuja Ulimwenguni (Past Tense)
- Awaokoe Wenye Dhambi (Sababu Ya Kuja)
- Ambao Wa Kwanza Wao Ni Mimi (Ungamo)
- Tufanye Nini Basi?