Dhambi (Utangulizi)

Fungu Kuu: Warumi 3:23

 • 23 kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;

Maneno yaliyotumika katika Biblia kuhusu “dhambi”

AGANO LA KALE

 1. Ḥaṭṭā’ṯ
 2. ‘Awôn
 3. Peša‘
 4. Reša‘
 5. Summary

AGANO JIPYA

 1. Hamartia
 2. Parakoē
 3. Parabasis
 4. Paraptōma
 5. Anomia
 6. Adikia

Zaburi 19: 12-14

 • 12 Ni nani awezaye kuyatambua makosa yake? Unitakase na mambo ya siri.
  13 Umzuie mtumishi wako asitende mambo ya kiburi, Yasinitawale mimi. Ndipo nitakapokuwa kamili, Nami nitakuwa safi, sina kosa lililo kubwa.
  14 Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee Bwana, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.

Hesabu 32:23

 • 23 Lakini kama hamtaki kufanya neno hilo, ninyi mmefanya dhambi mbele za Bwana, nanyi jueni ya kwamba hiyo dhambi yenu itawapata hapana budi.

1 Yohana 3:3-4

 • 3 Na kila mwenye matumaini haya katika yeye hujitakasa, kama yeye alivyo mtakatifu.
  4 Kila atendaye dhambi, afanya uasi; kwa kuwa dhambi ni uasi.

Yakobo 4:17

 • 17 Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi.

Dhambi 1