Yohana 14:1-3

MSIFADHAIKE MIOYONI MWENU

 • Ijumaa: 5/6/2016
 • Yohana 14: 1-3

Ufupisho Wa Somo

 1. Msifadhaike mioyoni mwenu;
 2. Mnamwamini Mungu,
 3. Niaminini na mimi.
 4. Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi;
 5. Kama sivyo, ningaliwaambia;
 6. Maana naenda kuwaandalia mahali.
 7. Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali,
 8. Nitakuja tena niwakaribishe kwangu;
 9. Ili nilipo mimi, nanyi mwepo.