2 Wakorintho 12:9

NEEMA YA MUNGU YATOSHA
- Alhamisi 5/5/2016
- tgvs.org
FUNGU KUU: 2 Wakorintho 12:9
Naye akaniambia, Neema Yangu Yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu.
NEEMA YA MUNGU YATOSHA
- Yesu Kristo: “Chanzo Cha Neema Ya Mungu”
- Neema Ya Mungu Huondoa Wasiwasi Na Hofu Katika Maisha Yetu
- Neema Ya Mungu Hutupatia Mahitaji/ Mipango Yetu Ya Moyoni
- Neema Ya Mungu Hutupa Riziki Zetu Za Kila Siku
- Neema Ya Mungu Huairisha Adhabu Ya Mungu Kwa Mdhambi
- Neema Ya Mungu Husamehe Makosa Kwa Mdambi
- Kwa Neema Ya Mungu, Moambi Ya Mdhambi Husikilizwa
- Neema Ya Mungu Na Ukombozi Wa Mdhambi (Waefeso 2:4-8)
WITO WA LEO
“Neema Ya Mungu & Mwitikio Wetu” (Tito 2: 11-14)
BWANA AWABARIKI
- David Partson.