Isaya 1:2

Wazo Fupila Leo: (Alhamisi 4/28/16)
Somo: MAHAKAMANI
Muhtasari
1. Mashtaka: UASI (Tumevunja sheria za Bwana)
2. Mshatikiwa: SISI SOTE
3. Mshataki: YAHWEH (BWANA MUNGU)
4. Mashahidi: MBINGU, & NCHI,
5. Mjumbe: NABII ISAYA
Fungu Kuu: Isaya 1:2
- Sikieni, enyi mbingu, tega sikio, Ee nchi, kwa maana Bwana amenena; Nimewalisha watoto na kuwalea, nao wameniasi.
Wito wa Leo: Isaya 1:18
- Haya, njoni, tusemezane, asema Bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
Bwana Awabariki.