4-24-16

MAOMBI YA ASUBUHI (Jumapili 4/24/16)
1. Saa 11-12 (Maombi ya binafsi/ Nyimbo za Injili)
2. Saa 12-1 (Maombi ya Jumla kama Familia ya Sauti Ya Injili)
3. Mada Ya Leo = UFALME WA MBINGUNI
SIFA & SHUKRANI: Mshukuru MUNGU kwa:
1. Baraka tele & uaminifu wake kwetu
2. Tabia yake isiyobadilika
3. Msamaha wa dhambi zetu
4. Nafasi nyingine ya Uhai Leo.

WAGONJWA WETU
1. Sisi sote tu wagonjwa wa kiroho, hivyo tuombee ili Tabibu Mkuu atuponye
2. Mama yake Barbara – ana maumivu makali sana ya mguuni yapata sasa miaka 25.
3. Dada Tatu Mkomagi.
4. Dada Mercy Swai
5. Rafiki yake Sule Mwassy (Mable) amepata depression, amezimia akakimbizwa Hospitali.
6. Andrew Songa, anaumwa sana, na amekimbizwa Hospitalini.
7. Debora & Mwanae
8. Br. A.B.M,Mwanza-TZ. (dada yangu: anaumwa sana. Tumwombee)
9. Br. A.B.M,Mwanza-TZ. (mama amekua akihudhuria cliniki: HTN & PUD, at BMC, sasa anasumbuliwa na CHF, Congestive Heart Failure.

MAHITAJI & CHANGAMOTO ZINGINE
• Mkutano Mkubwa Wa Injili, Bunda Mjini, Tanzania (Sauti Ya Injili SDA)
• Mwenye -diploma ya “procurement and supply management” lakini hajapata ajira.
• George anataka 100 USD by 25th April ili kuhudhuria program ya kuuza vitabu huko Norway
• Advocate Kinja = “nipo kwenye partnership ya kufungua campuni, lakini bado mipango ya mtaji haijakaa sawa naomba Mungu afungue njia”
• Cyprian Nyaga kwa ajili ya ustawi wa kiroho, fedha, wanafamilia wengine, na wazazi ambao si wa imani hii.
• Murewa distric (nchini Zimbabwe) = mkutano mkubwa wa Injili 19th – 23 Aprili. Tuombee, wachungaji, wasemaji, mahudhurio, rasilimali, usafiri na toba. (Chifamba)
• Dada Abbie – haja ya ukombozi, na mitihani yake (kuanzia April 25, 2016)
• Edwin kushinda Visa kwa America
• Dada -kwenda kukaa na jamaa za baba yake huko Capetown, South Africa.
• Namoonga Oreen- Ajira ya kudumu
• Ndugu mmoja – apate fedha za kulipia ada, kabla ya Mei 9.
• Walioathirika na mafuriko ya Houston –TX, USA.
• Walioathirika na Tetemeko La Ardhi (EQUADOR – yapata watu 3000)
• Mathania Machuma na Ruth Nyabuti – mipango ya harusi (Mei 1, 2016)
USHUHUDA WA LEO
1. Mkutano Mkubwa wa Injili (Zimbabwe) watu 30 wamebatizwa jana.

AHADI YA LEO: – Mathayo 7: 13-14
(13) Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. (14) Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.

TUNAKARIBISHWA KUFANYA YAFUATAYO:
1. Kutoa ushuhuda wa Matendo makuu ya MUNGU
2. Kuweka Audios za Maombi (Sauti), ama Kuandika.
3. Kutujulisha kama OMBI LAKO limejibiwa (ili tupunguze list)
4. Kushiriki katika kipindi kingine cha Maombi Ya Jioni (Saa 3 Usiku)

Karibuni katika CHUMBA CHA MAOMBI ili tushiriki ibada ya maombi pamoja.